Iran kuwa pamoja na Iraq; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kupanuliwa ushirikiano wa nchi mbili

Iran kuwa pamoja na Iraq; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kupanuliwa ushirikiano wa nchi mbili

Jumamosi alasiri Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei alikutana na Rais Barham Ahmed Salih wa Iraq pamoja na ujumbe alioandamana nao hapa mjini Tehran ambapo alisisitiza kwamba: "Iraq rafiki, yenye nguvu, inayojitawala na yenye maendeleo, ni yenye faida kubwa kwa Iran na sisi tutaendelea kuwa pamoja na ndugu zetu Wairaki."

Kikao cha Umoja wa Afrika na juhudi za kurekebisha muundo wake

Kikao cha Umoja wa Afrika na juhudi za kurekebisha muundo wake

Kikao cha dharura cha Umoja wa Afrika kimeanza huko Addis Ababa mji mkuu wa Ethiopia huku viongozi wa umoja huo wakifanya juhudi za kurekebisha muundo wake ili waweze kupata fursa zaidi za utatuzi wa pamoja na kuongeza ushirikiano wa nchi za bara hilo.

Msimamo wa Imran Khan kuhusu misaada ya Saudia kwa Pakistan

Msimamo wa Imran Khan kuhusu misaada ya Saudia kwa Pakistan

Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan sambamba na kutangaza kwamba nchi yake imepokea vifurushi vya misaada mikubwa kutoka China na Saudia amesema kuwa, hatafafanua zaidi kuhusu misaada iliyopata Islamabad kutoka Riyadh.

Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia

Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia

Uhusiano wa Marekani na Russia tangu baada ya kumalizika Vita Baridi umekuwa na pandashuka nyingi na mivutano ya mara kwa mara. Tangu mwaka 2011 Marekani imekuwa ikiiwekea vikwazo Russia kwa kutumia visingizio mbalimbali.