Mchango muhimu wa Hizbullah katika ushindi wa Lebanon dhidi ya ugaidi

Mchango muhimu wa Hizbullah katika ushindi wa Lebanon dhidi ya ugaidi

Rais Michel Aoun wa Lebanon ametetea uwepo wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon huko nchini Syria na kusema kuwa, uwepo huo ni kwa ajili ya kuihami nchi yake na hujuma za magaidi.

Malalamiko makali ya Jeremy Corbyn kwa kitendo cha UK cha kuipa silaha Saudia

Malalamiko makali ya Jeremy Corbyn kwa kitendo cha UK cha kuipa silaha Saudia

Nchi ya Saudi Arabia inayotawaliwa na ukoo mmoja, mwezi Machi 2015 ilianzisha vita vya pande zote dhidi ya nchi maskini ya Yemen kwa kushirikiana na waitifaki wake hasa Umoja wa Falme za Kiarabu.

Kushindwa siasa za Marekani duniani

Kushindwa siasa za Marekani duniani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo ameiambia televisheni ya CNN kwamba serikali ya Donald Trump imefeli na kushindwa katika jitihada zake za kuboresha uhusiano wa Marekani na Russia.

Safari ya Rais wa Iran mjini New York; fursa ya kubainisha changamoto za kieneo na kimataifa

Safari ya Rais wa Iran mjini New York; fursa ya kubainisha changamoto za kieneo na kimataifa

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumapili aliekekea New York Marekani kwa lengo la kushiriki mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

SAUTI, Serikali ya Uganda yagawa fedha kwa vijana wa mitaani ili kuwashawishi wasifuate mkumbo wa siasa

SAUTI, Serikali ya Uganda yagawa fedha kwa vijana wa mitaani ili kuwashawishi wasifuate mkumbo wa siasa

Serikali ya Uganda chini ya Rais Museven imeanzisha kampeni kugawa fedha za mkopo wa riba nafuu kwa vijana sambamba na kuwataka wasishawishiwe na kimbunga kipya cha kisiasa nchini.

Wanafunzi wenye ulemavu walalamikia changamoto zinazowakumba Zanzibar + Sauti

Wanafunzi wenye ulemavu walalamikia changamoto zinazowakumba Zanzibar + Sauti

Wanafunzi wenye ulemavu visiwani Zanzibar wamelalamikia changamoto wanazozipata wakati wanapokwenda mashuleni kutokana na kukosekana miundimbinu iliyo rafiki kwao. Mwandishi wetu Harith Subeit na ripoti kamili

Waziri Mkuu wa Tanzania aongoza maziko ya wahanga wa ajali ya MV Nyerere + Sauti

Waziri Mkuu wa Tanzania aongoza maziko ya wahanga wa ajali ya MV Nyerere + Sauti

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa ameongoza mazishi ya kitaifa ya watu tisa kati ya 224 waliofariki kwenye ajali ya Kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria Septemba 20, 2018 ambao wamezikwa katika viwanja vya shule ya Sekondari Bwisya katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza. Kati ya watu hao tisa, miili ya watu wanne ni ile ambayo haikutambuliwa.   Mwandishi wetu wa Dar es Salaam Ammar Dachi anatutaarifu zaidi.

SAUTI, Waziri wa Usalama Uganda awaonya waandishi wa habari wanaochochea ghasia

SAUTI, Waziri wa Usalama Uganda awaonya waandishi wa habari wanaochochea ghasia

Waziri wa Usalama nchini Uganda Jenerali Elly Tumwine, amewataka waandishi wa habari kutumia vyema taaluma yao ili wasiitumbukize nchi hiyo katika machafuko.