Polisi nchini Uganda imeomba radhi kutokana na kitendo cha maafisa wake kufanya kuhujumu msikiti mmoja nchini humo mwishoni mwa mwezi uliopita. Disemba 27 mwaka uliomalizika wa 2016,

Kikosi cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Polisi nchini Uganda (JATT) kilifanya msako mkali katika msikiti wa Nakasero ulioko jijini Kampala na kukamata watu kadhaa wakiwemo wasimamizi na walinzi wa msikiti huo.
Kigozi Ismail ana maelezo zaidi kutoka Kampala……….
 

Jan 05, 2017 16:41 UTC
Maoni