Wakimbizi kutoka Rwanda wanaoishi nchini Kongo Brazzaville wamefanya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yaliyojiri nchini mwao mwaka 1994. Mwandishi wa Radio Tehran aliyeko mjini Brazzaville amefanya mahojiano maalumu na mwakilishi wa wakimbizi hao...

Apr 11, 2017 07:08 UTC
Maoni