Police nchini Rwanda imewaonya wapiga kura na waandishi wa habari kuhusu suala lolote linaloweza kupelekea wao kujikuta kwenye chini ya mkono wa sheria.

Haya yanajiri wakati zikianza kampeini za uchaguzi wa rais nchini humo ambao umepangwa kufanyika mwezi wa Agosti mwaka huu.

Uchaguzi nchini Rwanda

Hata hivyo waandishi kadhaa wameitaja kauli hiyo ya polisi ya Rwanda kama ni njia ya ubanaji uhuru katika kipindi hiki muhimu ambapo raia wa nchi hiyo wanahitaji habari kuweza kufahamu kile kinachojiri na hatimaye kumchagua shakhsia wanayemtaka.

Polisi ya nchini Rwanda ikiwa katika doria

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi

Tags

Jul 13, 2017 14:08 UTC
Maoni