Mamilioni ya Wakenya leo wameshiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, madiwani, maseneta, wabunge, magavana na wawakilishi wa wanawake.

Ripoti za vyombo vya habari kutoka nchini humo zinaeleza kuwa wananchi wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika kila pembe ya nchi hiyo huku muda wa upigaji kura ukilazimika kurefushwa baada ya muda rasmi wa saa kumi na moja jioni baada ya zoezi hilo kuchelewa kuanza katika baadhi ya maeneo kutokana na sababu za kilojistiki.

Washindani katika uchaguzi wa leo

Kwa maelezo kamili tumtegee sikio mwandishi wetu wa jijini Mombasa Seifullah Murtadha..................../

Aug 08, 2017 17:08 UTC
Maoni