Zaidi ya watu 20 wameripotiwa kuuawa na wanamgambo wa kundi la waasi la ADF-NALU wa nchini Uganda huko mjini Beni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kwa mujibu wa habari rasmi mjini Beni, hujuma za waasi hao, zilianza kuanzia siku ya Jumamosi iliyopita na kuendelea hadi Jumatatu ya leo.

Baadhi ya watoto wadogo waliotekwa nyara na waasi hao

Inaarifiwa kuwa waasi hao walishambulia pia kambi ya jeshi la serikali mjini hapo na kuifanya hali ya mambo kuwa ya hatari.

Tujiunge na mwandishi wetu wa eneo la katikati mwa Afrika Mosi Mwasi kwa taarifa kamili…………………../

 

 

Oct 09, 2017 16:37 UTC
Maoni