Wanawake wanaotalikiwa katika visiwa vya Zanzibar sasa watapewa asilimia 50 ya mali walizochuma wakiwa kwenye ndoa.

Huko visiwani Zanzibar, wanawake wengi wanaotalikiwa wamekuwa wakitelekezwa na kushindwa kukidhi mahitaji ya msingi ya watoto waliowapata wakiwa kwenye ndoa, jambo ambalo limekuwa likilalamikwa na wanaharakati wanaotetea hazi za wanawake. Lakini tatizo hilo linaonekana kupatiwa ufumbuzi kutokana na kufanyiwa marekebisho Sheria Namba 9 ya Mwaka 2017 ya Mahakama ya Kadhi.

Mwandishi wetu wa visiwani humo Harith Subeit ametutumia ripoti ifuatayo…..

 

Tags

Jan 09, 2018 16:58 UTC
Maoni