Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohamed Shein aahidi elimu ya sekondari bila malipo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ijumaa hii iliadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika hali ambayo Zanzibar ingali inakabiliwa na changamoto kadhaa, zikiweko za kisiasa na kiuchumi. Kilele cha sherehe za maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar ilikuwa ni hotuba ya Rais wa visiwa hivyo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta Ali Mohamed Shein, katika Uwanja wa Aman.

Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit ana maelezo zaidi….

Tags

Jan 12, 2018 16:59 UTC
Maoni