Huwenda mzozo wa Uganda na Rwanda ukaingia hatua mpya kutokana na baadhi ya Wanyarwanda kuendelea kutiwa mbaroni na askari wa Uganda na kurejeshwa baadaye nchini Rwanda.

Mmoja wao aliyerejeshwa Rwanda amezituhumu ngazi za upelelezi za Uganda kuhusika kwenye kamatakamata hiyo.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi

Tags

Jan 31, 2018 19:00 UTC
Maoni