Chama cha upinzani nchini TanzaniaCHADEMA kimesema hakiridhishwi na mwenendo wa haki katika nyanja ya demokrasia kutokana na mlimbikizo wa matukio yanayoonesha ukandamizwaji wa vyama vya upinzani nchini humo.

CHADEMA imesema hayo ikiwa ipo katika harakati za chaguzi ndogo za majimbo nchini humo huku chama hicho kikijikuta katika matukio ya kupotea viongozi wake katika mazingira ya kutatanisha sambamba na tukio la kushambuliwa mwanasheria wake mkuu TUNDU LISSU.

Kwa taarifa zaidi tujiunge na mwandishi wetu OMAR MANJI kutoka Dar es Salaam, Tanzania.

Tags

Feb 08, 2018 07:42 UTC
Maoni