Wachambuzi wa kisiasa wamekosoa mienendo ya dola katika uchaguzi huo wa Kinondoni na Siha

Serikali ya Tanzania imetakiwa kutofumbia macho matukio yaliyoshuhudiwa katika chaguzi  ndogo nchini humo ambayo yanaweza kusababisha madhara katika ustawi wa demokrasia hasa ndani ya  kipindi hiki ambacho
Watanzania wamebakisha miaka mitatu kabla ya kuingia katika uchaguzi mkuu. Wito huo umetolewa na wasomi na wachambuzi wa maswala ya siasa nchini humo kufuatia matukio tata ya kuuawa kwa watu, kupotea na kamatakamata katika uchaguzi mdogo wa majimbo ya Siha na Kinondoni.

Taarifa zaidi na OMAR MANJI kutoka Dar es Salaam…..

 

Tags

Feb 18, 2018 16:49 UTC
Maoni