Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadam nchini Burundi (CNIDH) imeshushwa hadhi na Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa kwa kile kilichotajwa kuwa imeshindwa kushirikiana vilivyo na baraza hilo.

Hatua hiyo imekosolewa vikali na tume hiyo nchini Burundi na kuitaja kuwa isiyokubalika.

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi

Weledi wa mambo wameitaja hatua hiyo kuwa ni miongoni mwa stratijia za kuiwekea mashinikizo serikali ya Bujumbura, chini ya Rais Pierre Nkurunziza.

Tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Bujumbura Hamida Isa kwa taarifa kamili………/

 

Tags

Mar 06, 2018 15:57 UTC
Maoni