Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeitaka Wizara ya Afya ya Uganda kuishinikiza Hazina ya Taifa ya nchi hiyo ii itoea fedha kunusuru akina mama nchini humo. Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu mwito huo...

Image Caption

 

Tags

Mar 20, 2018 06:33 UTC
Maoni