Jul 09, 2018 16:09 UTC

Marais Omar al-Bashir wa Sudan na Yoweri Museven wa Uganda, wameongoza mazungumzo ya usuluhishi kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Sudan.

Katika uwanja huo, viongozi hao wameonyesha hamu ya kuhitimisha mzozo wa kisiasa wa miaka kadhaa ndani ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

Viongozi hao wakiwa pamoja

Kwa mujibu wa habari hiyo, sasa viongozi hasimu wa Sudan Kusini watagawana madaraka ya nchi hiyo ili kuhitimisha vita vya ndani nchini humo.

Tujiunge na Kigozi Ismail wa jijini Kampa ambaye ametuandalia ripoti ifuatayo……./

Tags

Maoni