Aug 22, 2018 17:58 UTC

Waislamu nchini Kenya wametakiwa kuzingatia mwezi mwandamo katika ukanda wa Afrika Mashariki ili kufanikisha maamuzi ya kiibada kama vile funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, Idul Fitr na Idul Adh'ha na kuacha kufuata Saudi Arabia au mwezi wa kimataifa. Seifullah Murtadha ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...

Tags

Maoni