Sep 03, 2018 16:26 UTC

Chama cha upinzani nchini Burundi MRC kimetaka kuitishwa upya uteuzi wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ikiwa ni katika kusubiri kikao cha majadiliano kilichoitishwa na Benjamin Mkapa, rais mustaaf wa Tanzania.

Hii ni katika hali ambayo, kwa upande wake chama cha UPRONA ambacho ni mshirika wa chama tawala, CNDD-FDD kimepongeza uteuzi wa wajumbe saba wa tume hiyo, sambamba na kuwataka kuwajibika.

Kwa maelezo Zaidi tujiunge na mwandishi wetu wa jijini Bujumbura, Hamida Issa……../

 

Tags

Maoni