Sep 03, 2018 16:28 UTC

Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika mapema leo nchini Rwanda limeanza na chama ambapo chama tawala cha RPF kinaonekana kuongoza matokeo.

Hii ni katika hali ambayo viongozi wa vyama vya upinzani wameridhishwa na mwenendo wa uchaguzi huo.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti……/

 

 

Tags

Maoni