Sep 11, 2018 06:32 UTC

Mufti wa Uganda, Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje ameilalamikia vikali serikali ya Uganda kutokana na sera zake za kuwatenga Waislamu katika jamii. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo.

Tags

Maoni