Sep 22, 2018 06:35 UTC

Mwenyekiti wa NCCR mageuzi nchini Tanzania, James Mbatia amesema kuwa, kuzama kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria ni ajali ya kujitakia.

Vile vile amesema, majanga yanayotokea kwa asilimia 96 ni ya kusababishwa na binadamu, na asilimia 4 pekee ndiyo majanga ya asili.

Amari Dachi ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo.

Tags

Maoni