Sep 22, 2018 16:33 UTC

Waislamu visiwani Zanzibar wametakiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hija wakiwa bado wana nguvu ili kuepukana na changamoto wakati wa utekelezaji wa ibada hiyo.

Kauli hiyo imetolewa na Sheikh Abdullah Twalib, Katibu Mtendaji wa  Kamisheni ya Mali ya Amana Zanzibar, wakati akizungumza na mahujaji waliowasili hivi karibuni kutoka Saudia kwa ajili ya kutekeleza ibada hiyo mwaka huu.

Mfuko wa Hifadhi Zanzibar ZSSF

Aidha Mfuko wa Hifadhi Zanzibar, ZSSF umetakiwa kuwapatia fedha zao watumishi ambao wanataka kwenda Hija wakiwa bado na nguvu, badala ya kuwapatia fedha hizo wakiwa wamekwisha zeheka.

Tujiunge na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Harith Subeit kwa taarifa kamili………../

 

Tags

Maoni