Nov 13, 2018 09:23 UTC

Kuna ripoti zinazosema kuwa wanawake na wasichana 4,500 raia wa Burundi wamepelekwa Saudi Arabia na Oman tangu mwaka 2015 katika kile kinachodaiwa na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni biashara ya binadamu. Serikali ya Burundi imeitisha mkutano maalumu kujadili suala hilo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...

Tags

Maoni