Dec 09, 2018 07:41 UTC

Viongozi wa Kiislamu Zanzibar nchini Tanzania wameitaka serikali ifunge mabaa na vituo vya vileo wakisisitiza kuwa vinachangia katika mmomonyoko wa maadili katika visiwa hivyo.

Na kama anavyoripoti mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit, watoto na vijana ndio wanaoonekana kuwa wahanga wakuu wa kushamiri biashara ya vileo na madanguro visiwani humo....

Tags

Maoni