Dec 13, 2018 16:01 UTC

Rais Dkt John Pombe Magufuli wa Tanzania na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, wameshiriki utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Rufiji (Stieglers Gorge).

Mradi huo umekuwa ukikosolewa vikali na viongozi wa upinzani nchini humo Mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Ammar Dachi anaarifu zaidi

Tags

Maoni