Feb 21, 2019 16:38 UTC

Wizara ya Kilimo nchini Rwanda imesema ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita eneo la ardhi kwa ajili ya kilimo lilipungua kutokana na kasi ya ujenzi wa makazi ya raia.

Hali hii imewafanya wananchi kuwa na wasiwasi kuhusu mustakabali wa usalama wa chakula nchini humo.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera ana maelezo zaidi.…..

 

Tags

Maoni