Apr 25, 2019 16:38 UTC

Mahakama Kuu nchini Rwanda imetupilia mbali mashtaka yaliyokuwa yametolewa na baadhi ya wanasheria nchini kupinga sheria iliyoanzishwa mwaka jana kuwa ni kosa la jinai kuchora vibonzo vinavyomkejeli Rais wa nchi hiyo. Wakati huo wanasheria hao walianzisha kesi kulipinga hilo huku wakisema hiyo ilikuwa ni kinyume cha katiba ya nchi hiyo. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi

Tags

Maoni