Apr 25, 2019 16:42 UTC

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetangaza kuwa, kimbunga Kenneth kimeongezeka kasi na kinatarajiwa kufika pwani ya kusini ya Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji kuanzia usiku wa leo. Hadi sasa wameshapokelewa watu takribani mia sita katika eneo la hifadhi. AMARI DACHI na taarifa zaidi akiripoti kutoka Dar es Salaam

Tags

Maoni