Picha

 • Membe ahimiza uhuru wa vyombo vya habari Tanzania + Sauti

  Membe ahimiza uhuru wa vyombo vya habari Tanzania + Sauti

  Sep 19, 2019 18:31

  Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki nchini Tanzania Benard Membe amesema kuwa serikali inaweza kuwa dumavu endapo haitoruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania

 • Nduli wawili wa Waislamu CAR wapandishwa kizimbani ICC + Sauti

  Nduli wawili wa Waislamu CAR wapandishwa kizimbani ICC + Sauti

  Sep 19, 2019 18:28

  Wababe wawili wa kivita wa kundi la Anti-Balaka la Jamhuri ya Afrika ya Kati wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai za Kivita ICC huko Uholanzi kujibu tuhuma za jinai za kivita na zilizo dhidi ya binadamu walizozifanya nchini mwao kati ya mwaka 2013 na 2014 wakati mapigano ya ndani Jamhuri ya Afrika ya Kati yalipopamba moto. Mwandishi wetu Mosi Mwassi na maelezo zaidi…

 • Waziri, Mkuu wa Polisi Uganda walaumiwa kwa kuruhusu unyanyasaji + Sauti

  Waziri, Mkuu wa Polisi Uganda walaumiwa kwa kuruhusu unyanyasaji + Sauti

  Sep 17, 2019 06:22

  Waziri wa Usalama wa Uganda na Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo wanatuhumiwa kutowajibika ipasavyo katika kupambana na uvunjaji wa haki za washukiwa wa makosa mbalimbali nchini humo. Kigozi Ismail na taarifa zaidi kutoka Kampala

 • Watanzania: Wamarekani ndio waliotengeneza Ebola kuwamaliza Waafrika + Sauti

  Watanzania: Wamarekani ndio waliotengeneza Ebola kuwamaliza Waafrika + Sauti

  Sep 15, 2019 16:44

  Kufuatia uvumi wa kuibuka maradhi ya Ebola nchini Tanzania, Watanzania wengi wamekua wakieneza taarifa kwenye mitandao ya kijamii zinazoeleza kuwa, ugonjwa huo ulitengenezwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kwa lengo la kupunguza idadi ya Waafrika. Tumtegee sikio mwandishi wetu wa Dar es Salaam kwa taarifa kamili...

 • AU na UN zalaani mapigano mapya Jamhuri ya Afrika ya Kati + Sauti

  AU na UN zalaani mapigano mapya Jamhuri ya Afrika ya Kati + Sauti

  Sep 15, 2019 16:41

  Umoja na Mataifa na Umoja wa Afrika zimelaani vikali kitendo cha kuibuka upya mapigano katika mji wa Birao wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye mpaka na Sudan Kusini. Mapigano hayo yaliyoyahusisha makundi mawili hasama ya genge la Seleka, yamepelekea makumi ya watu kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa. Hii ni katika hali ambayo makundi hayo, yalitia saini mkataba wa amani kwenye serikali ya umoja wa kitaifa nchini CAR. Mwandishi wetu Mossi Mwasi na maelezo zaidi...

 • Maadhimisho ya Siku ya Ashura nchini Tanzania + Sauti

  Maadhimisho ya Siku ya Ashura nchini Tanzania + Sauti

  Sep 11, 2019 06:34

  Wakati Tanzania ikikaribia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wa dini mbalimbali wametakiwa kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie uchaguzi huo upite kwa salama na amani. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu wa Ammar Dachi...

 • Kamalvandi: Mashinepewa (centrifuges) za kisasa za nyuklia za Iran zaanza kufanya kazi + Video

  Kamalvandi: Mashinepewa (centrifuges) za kisasa za nyuklia za Iran zaanza kufanya kazi + Video

  Sep 07, 2019 12:58

  Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, awamu ya tatu ya kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA ilianza jana Ijumaa kwa amri ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

 • Waziri Mkuu wa Uganda aitwa Bungeni kuhusu machafuko ya Afrika Kusini + Sauti

  Waziri Mkuu wa Uganda aitwa Bungeni kuhusu machafuko ya Afrika Kusini + Sauti

  Sep 07, 2019 08:54

  Bunge la Uganda limemwita Waziri Mkuu wa nchini hiyo Bw. Ruhakana Bungeni ili kutoa maelezo kuhusu hali ya raia wa nchi hiyo katika machafuko ya Afrika Kusini. Kigozi Ismail na maelezo zaidi...

 • Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

  Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti

  Sep 07, 2019 08:49

  Wiki hii pia kama ilivyo kwa wiki zote, ukanda wa Afrika Mashariki na Kati umeendelea kuwa na matukio mengi ya Kiislamu. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit anatudondolea baadhi yake katika ripoti yake hii...