Hapa tumekuorodhesheeni baadhi ya picha alizopigwa Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye matukio tofauti. Ayatullah Rafsanjani amefariki dunia Jumapili tarehe 8 Januari 2017 akiwa na umri wa miaka 82

Jan 09, 2017 17:00 UTC
Maoni