• Baadhi ya picha za Kiongozi Muadhamu alipoonana na Wafanyakazi Mei Mosi

Katika maadhimisho ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameonana na wafanyakazi wa sekta mbalimbali wa Iran hapa mjini Tehran. Hizi hapa baadhi ya picha za mkutano huo.

Mei 02, 2017 07:40 UTC
Maoni