• Mtetemeko mkubwa wa ardhi katika mpaka wa Iran na Iraq katika Picha

Hadi tunapokea habari hii, idadi ya watu waliokuwa wamepoteza maisha yao kutokana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliopita eneo la mpakani mwa Iran na Iraq ilikuwa imeshafikia watu 445 na wengine 7100 kujeruhiwa.

Hizi hapa chini ni baadhi ya picha za mtetemeko huo pamoja na misaada wanayopatiwa walioathiriwa na zilizala hiyo ya ukubwa wa 7.3 kwa kipimo cha Rishta

Tags

Nov 13, 2017 16:36 UTC
Maoni