Nov 11, 2017 11:05 UTC

Kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain ambazo hufikia kileleni mwezi 20 Mfunguo Tano Safar kila mwaka huko Karbala Iraq, zinawajumuisha pamoja mamilioni ya wapenzi wa Ahlul Bayt AS kutoka kona zote za dunia.

Akiwa Karbala Iraq, mwenzetu Salum Bendera ameonana na Waislamu wengi kutoka Afrika Mashariki na Kati akiwemo Sheikh Ghauth Nyambwa wa nchini Tanzania ambaye amehojiana naye kuhusu kumbukumbu hizo za Arubaini ya Imam Husain AS.

Tags

Maoni