• Sherehe za ukombozi wa Mosul nchini Iraq
    Sherehe za ukombozi wa Mosul nchini Iraq

Mapema mwezi huu wa Julai 2017, Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi alitangaza rasmi kufurushwa magaidi wa Daeshi (ISIS) na kukombolewa mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa wa Nainawa wa kaskazini mwa Iraq. Hizi hapa chini baadhi ya picha zinazoonesha matukio mbalimbali ya operesheni ya ukombozi wa Mosul

Jul 16, 2017 18:45 UTC
Maoni