• Arubaini ya Imam Husain AS katika Picha

Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wanazidi kumiminika Karbala kwa ajili ya Arubaini ya Imam Husain AS.

Arubaini ya Imam Husain AS ni maadhimisho yanayofanyika kukumbuka siku ya 40 tangu Imam Husain AS na wafuasi wake 72 walipouliwa shahidi kikatili na maadui wa Uislamu mwaka 61 Hijiria.

Hapa chini tumekuwekea baadhi ya picha zinazowaonesha Waislamu na wapenzi wa Bwana Mtume SAW na Imam Husain AS wakielekea katika haram ya mtukufu huyo huko Karbala Iraq. 

Arubaini ya Imam Husain mwaka huu wa 1439 Hijria inafikia kileleni siku ya Ijumaa Novemba 10, 2017 kwa mujibu wa kalenda ya Iraq.

Tags

Nov 05, 2017 10:54 UTC
Maoni