Mar 31, 2018 14:40 UTC
  • Nairuzi katika picha

Nairuzi ni sherehe za kale na za muda mrefu ambazo matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki.

Hata asili ya sherehe za Mwakakogwa huko Makunduchi visiwani Zanzibar, ni sherehe hizo za Nairuzi za nchini Iran. Mbali na Iran sherehe za Nairuzi hufanyika pia katika nchi za Jamhuri ya Azerbaijan, Albania, Kirghizstan, Turkmenistan, Macedonia, India, Uturuki, Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia, Sudan na Zanzibar huko Tanzania.

Hapa tumekuwekeeni baadhi ya picha zinazohusiana na sherehe za Nairuzi katika maeneo tofauti duniani

Tags

Maoni