• Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

  Rouhani: Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu

  Feb 13, 2018 16:48

  Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Ulimwengu una imani kamili na Iran, Mapinduzi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu."

 • Bahman 22 ya Mapinduzi ya Kiislamu;

  Bahman 22 ya Mapinduzi ya Kiislamu; "Kujitawala, Kuwa Huru, Jamhuri ya Kiislamu"

  Feb 11, 2018 15:42

  Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yameingia katika mwaka wake wa 40 wa umri wake wenye baraka tangu yalipopata ushindi siku kama ya leo miaka 39 iliyopita. Ni mapinduzi ambayo, kwa kusimama kwake kidete na imara kukabiliana na ubeberu wa madola makubwa, yameonyesha kuwa yanataka Iran iwe na uhuru wa kweli wa kujitawala; kujitawala ambako kumepatikana kwa kutegemea irada ya wananchi walioungana na kuwa kitu kimoja.

 • Hamas: Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina

  Hamas: Iran baada ya Mapinduzi ya Kiislamu imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina

  Feb 10, 2018 16:25

  Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979, nchi hii imekuwa muungaji mkono mkuu wa Palestina na pia ni nchi yenye taathira chanya zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

 • Mapinduzi ya Kiislamu; uungaji mkono kwa mapambao ya Kiislamu na Quds Tukufu

  Mapinduzi ya Kiislamu; uungaji mkono kwa mapambao ya Kiislamu na Quds Tukufu

  Feb 10, 2018 13:17

  Hii leo ulimwengu wa Kiislamu ungali una madonda makongwe ambayo yamesababishwa na madola ya kiistikbari kwa Umma wa Kiislamu na muhimu zaidi kati ya madonda hayo ni suala la Palestina na kuendelea siasa za utawala haramu wa Israel za kughusubu ardhi za Waislamu.

 • Sababu za kubakia na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

  Sababu za kubakia na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

  Feb 10, 2018 10:55

  Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara wa Imam Ruhullah Khomeini; mapinduzi ambayo yalihitimisha utawala dhalimu na kibarala wa mfalme Shah. 11/02/2018

 • Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

  Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

  Feb 10, 2018 07:57

  Mufti Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Kisuni nchini Iraq ameyasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kueleza kuwa, yamekuwa na taathira chanya katika Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla.

 • Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)

  Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)

  Feb 09, 2018 12:55

  Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yana sifa za kipekee. Umoja wa kitaifa na utukufu wa Uislamu ambayo ni misingi muhimu ya dola la kimataifa la Imam Mahdi (af) ni baadhi ya sifa za mapinduzi hayo.

 • Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mwanadamu wa Leo

  Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mwanadamu wa Leo

  Feb 09, 2018 05:46

  Licha ya kupita miaka 39 sasa tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran lakini mapinduzi hayo na taathira zake kikanda na kimataifa yangali yanajadiliwa hadi sasa katika duru mbalimbali za kisiasa, vyuo vikuu na vyombo vya habari kote duniani.

 • Kujiamini na ustawi wa kisayansi Iran

  Kujiamini na ustawi wa kisayansi Iran

  Feb 08, 2018 08:29

  Hamjambo wapenzi wasikilizaji. Tuko katika siku hizi ambazo ni maarufu kama Alfajiri 10, ambazo ni siku za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Tumewaandalia makala kadhaa kwa munasaba huo na leo tutaangazia maendeleo na mafanikio makubwa ya watu wa Iran katika uga wa sayansi kutokana na kujiamini taifa hili la Kiislamu. Karibuni.