• Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti

  Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti

  Nov 25, 2017 19:33

  Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 17 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

 • Salum Bendera na ripoti ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS, Karbala Iraq

  Salum Bendera na ripoti ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS, Karbala Iraq

  Nov 11, 2017 11:12

  Jana Ijumaa mwezi 20 Mfunguo Tano Safar sawa na tarehe 10 Novemba 2017 ilisadifiana na Arubaini ya Imam Husain AS kwa mujibu wa kalenda ya Iraq. Mamilioni ya Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wameshiriki katika kumbukumbu hizo zilizofikia kileleni jana huko Karbala Iraq. Mwenzetu Salumu Bendedra aliyetumwa maalumu kuakisi tukio hilo ametutayarishia ripoti ifuatayo

 • Mahojino na Sheikh Ghauth Nyambwa akiwa Karbala Iraq

  Mahojino na Sheikh Ghauth Nyambwa akiwa Karbala Iraq

  Nov 11, 2017 11:05

  Kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain ambazo hufikia kileleni mwezi 20 Mfunguo Tano Safar kila mwaka huko Karbala Iraq, zinawajumuisha pamoja mamilioni ya wapenzi wa Ahlul Bayt AS kutoka kona zote za dunia.

 • Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki

  Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki

  Nov 07, 2017 11:55

  Harakati ya mapambano ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) hapo mwaka 61 Hijria dhidi ya dhulma na ufisadi wa Bani Umayya ilijaa hamasa, kujitolea na kusabilia kila kitu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, haki na uadilifu, na kwa sababu hiyo imegusa sana nyoyo za Waislamu na hata wapenda haki na kweli wasio Waislamu na kuzusha vuguvugu na hamasa ya aina yake ndani ya nafsi za wapenzi wa mtukufu huyo.

 • Arubaini; kukamilika Ashura

  Arubaini; kukamilika Ashura

  Nov 06, 2017 10:26

  Arubaini ni siku ya kufikia ukamilifu. Ukamilifu wa Ashura ni Arubaini; ukamilifu wa matendo, harakati na juhudi zote. Karbala katika Siku ya Arubaini huwa ni kioo cha waliofikia kilele cha umaanawi kiasi kwamba ulegevu, uzembe, udhaifu na kurejea nyuma huwa havina nafasi tena katika hali hiyo.

 • Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

  Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

  Nov 03, 2017 06:24

  Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Karibuni kujiunga nasi katika makala hii inayowajieni kwa munasaba wa siku hizi za Arubaini ya Imam Hussein AS. Makala yetu ya leo itaangazia siri hii kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.

 • Imam Hussein, Nguzo ya Umoja na Mshikamano wa Kiislamu

  Imam Hussein, Nguzo ya Umoja na Mshikamano wa Kiislamu

  Oct 31, 2017 10:40

  Zimebakia siku chache tu hadi siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as) na barabara zote za kuelekea katika mji wa Karbala nchini Iraq zimefurika watu kama mto wa maji unaoelekea katika mji mtakatifu wa Karbala.

 • Udharura wa kumtambua adui, msingi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah mchana wa Ashura

  Udharura wa kumtambua adui, msingi wa hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah mchana wa Ashura

  Oct 02, 2017 12:22

  Akiwahutubia waombolezaji wa kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein (as) mchana wa siku ya Ashura kupitia njia ya video, Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kusisitizia umuhimu wa kumtabua adui.