• Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (6) + Sauti

  Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (6) + Sauti

  Oct 07, 2018 11:51

  Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran, na karibuni kusikiliza sehemu ya sita ya kipindi hiki cha Maswai Kuhusu Tukio la Ashura.

 • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (4)

  Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (4)

  Sep 30, 2018 13:04

  Kusikia kisa cha machungu na mateso ambayo yaliwapata wanawake na watoto wa Nyumba ya Mtume Mtukufu (saw) baada ya kuuawa shahidi Bwana wa Mashahidi, al-Imam Hussein (as) huumiza moyo wa kila mcha-Mungu na mpigania uhuru na utu wa mwanadamu na huenda kikamfanya ajiulize maswali haya muhimu kwamba je, ni kwa nini Imam Hussein (as) aliamua kuchukua na kuandamana na familia yake katika safari ya Karbala?

 • Polisi Nigeria wawashambulia kwa risasi Waislamu katika maombolezo ya Ashura

  Polisi Nigeria wawashambulia kwa risasi Waislamu katika maombolezo ya Ashura

  Sep 22, 2018 03:11

  Polisi nchini Nigeria wamewafyatulia risasi Waislamu waliokuwa katika maomboleza ya ashura na kujeruhi baadhi yao.

 • Jumamosi, Septemba 22, 2018

  Jumamosi, Septemba 22, 2018

  Sep 22, 2018 03:03

  Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Septemba 2018 Miladia.

 • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Tukio la Ashuraa ni somo la kivitendo la jinsi ya kuishi

  Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Tukio la Ashuraa ni somo la kivitendo la jinsi ya kuishi

  Sep 21, 2018 13:57

  Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa tukio la Ashuraa mwaka 61 Hijria katika ardhi ya Karbala ni somo la kivitendo la jinsi ya kuishi na kuongeza kuwa, Imam Hussein bin Ali (as) ni kigezo cha kuigwa na mataifa yote hususan mataifa ya Iran, Iraq, Syria, Yemen na Bahrain na amewafundisha wanadamu wote huru duniani jinsi ya kusimama kidete na kuwa na ari na ghera ya kulinda matukufu na thamani za kibinadamu.

 • Fikra ya Ashura ya watu wa Yemen, ngome imara dhidi ya maadui

  Fikra ya Ashura ya watu wa Yemen, ngome imara dhidi ya maadui

  Sep 21, 2018 13:17

  Jana Alkhamisi maelfu ya watu wa Yemen walijitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya Siku ya Ashura katika miji ya Sanaa na Sa'da na kwa mara nyingine tena kusisitiza juu ya udharura wa kusimama imara mbele ya wavamizi na wachokozi.

 • Ashura ya Imam Hussein (as) yautia hofu na kiwewe utawala wa Aal Khalifa, Bahrain

  Ashura ya Imam Hussein (as) yautia hofu na kiwewe utawala wa Aal Khalifa, Bahrain

  Sep 21, 2018 07:46

  Mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini Bahrain amesema, hatua za utawala wa Aal Khalifa za kuwakandamiza wananchi na maulamaa ni ishara ya hofu uliyonayo kutokana na mapambano ya Ashura na taathira yake kwa wananchi wanaoupinga utawala huo.

 • Katibu Mkuu wa Ansarullah: Wayemeni katu hawatasalimu amri kwa adui

  Katibu Mkuu wa Ansarullah: Wayemeni katu hawatasalimu amri kwa adui

  Sep 21, 2018 07:29

  Katibu Mkuu wa Ansarullah ya Yemen, Abdulmalik Badruddin amesema: Licha ya mauaji na jinai zote anazozifanya adui, hatoweza katu kuifanya Yemen isalimu amri.

 • Waombolezaji Iran, duniani wajitokeza kwa wingi kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS

  Waombolezaji Iran, duniani wajitokeza kwa wingi kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS

  Sep 20, 2018 07:35

  Mamilioni ya Waislamu katika nchi mbali mbali duniani wamejotokeza kwa mamilioni katika Siku ya Ashura kukumbuka siku alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.