Tuhuma za ugaidi za Saudi Arabia dhidi ya Iran; kukaririwa madai ya kipuuzi na ya maagizo

Tuhuma za ugaidi za Saudi Arabia dhidi ya Iran; kukaririwa madai ya kipuuzi na ya maagizo

Kila baada ya muda fulani, viongozi wa Saudi Arabia hukariri madai ya kipuuzi na yasiyo na maana dhidi ya Iran, ikiwa ni juhudi za kujikosha na hatua zao za kuhatarisha amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi na ugaidi ambao umeibuka na kutokea kutokana msaada ya kifedha na fikra za kitakfiri ambazo chimbuko lake ni Saudia.

Kuaga dunia Sheikh Swabah al-Ahmad as-Swabah; mwisho wa wapatanishi wakongwe Asia Magharibi

Kuaga dunia Sheikh Swabah al-Ahmad as-Swabah; mwisho wa wapatanishi wakongwe Asia Magharibi

Sheikh Swabah al-Ahmad Jabir as-Swabah, Amir wa Kuwait ambaye aliaga dunia hapo jana Jumanne tarehe 29 Septemba, alikuwa mpatanishi wa mwisho mkongwe katika eneo la Asia Magharibi.

Kuwasili shehena mpya ya nishati ya mafuta ya Iran nchini Venezuela

Kuwasili shehena mpya ya nishati ya mafuta ya Iran nchini Venezuela

Licha ya vizingiti, ukwamishaji mambo na mashinikizo ya Marekani, shehena ya pili ya nishati ya mafuta ya Iran imewasili nchini Venezuela.

Palestina; miongo miwili baada ya Intifadha ya Pili

Palestina; miongo miwili baada ya Intifadha ya Pili

Jumatatu ya jana tarehe 28 Septemba, ilisafidiana na kutimia miaka 20 tangu kulipotokea Intifadha ya Pili inayojulikana kama Intifadha ya al-Aqswa.