Kushadidi malalamiko ya wananchi nchini Sudan

Sambamba na kushadidi matatizo ya kiuchumi nchini Sudan, wananchi wa nchi hiyo wameanza tena kufanya maandamano wakilalamikia hali hiyo.

Sababu za kuongezeka mashambulio ya kigaidi ya ISIS nchini Iraq

Jana Jumatatu, Januari 25, 2021, Brigedia Jenerali Yahya Rasoul, msemaji wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iraq alizungumzia ushahidi mpya uliopatikana kuhusu mashambulio ya hivi karibuni ya mjini Baghdad na kusema kuwa, hadi hivi sasa vikosi vya usalama vya Iraq vimefanikiwa kuzima majaribio kadhaa makubwa ya kujiripua kwa mabomu katika maeneo tofauti ya nchi hiyo. 

Kuendelea machafuko nchini Tunisia

Kuendelea machafuko nchini Tunisia

Licha ya kupita takriban muongo mzima tangu yalipotokea mapinduzi ya wananchi wa Tunisia na kuchochea mapinduzi mengine katika nchi kadhaa za ulimwengu wa Kiarabu, lakini bado wananchi wa nchi hiyo wanalalamikia matatizo mengi ya kijamii na kisiasa nchini mwao.

Wasi wasi wa viongozi wa Ankara kuhusu kuharibika uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Ulaya

Licha ya kuongezeka kila siku hitilafu baina ya Uturuki na Umoja wa Ulaya lakini bado viongozi wa Ankara wanafuatilia juhudi za kupewa uanachama katika umoja huo.

Kushadidi malalamiko ya wananchi nchini Sudan

Kushadidi malalamiko ya wananchi nchini Sudan

Sambamba na kushadidi matatizo ya kiuchumi nchini Sudan, wananchi wa nchi hiyo wameanza tena kufanya maandamano wakilalamikia hali hiyo.

Rwanda yaanza kugawa chakula kwa wananchi waliothirika na karantini ya Corona +SAUTI

Wakati wakazi wa mji mkuu wa Rwanda Kigali wakiingia juma la pili la zuio la kutotoka nje katika hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona, serikali ya nchi hiyo imeanza zoezi la mgawo wa vyakula kwa wananchi walioathiriwa kutokana na kupoteza vyanzo vyao vya mapato.

Serikali ya Uganda yatakiwa kuzingatia maslahi ya vijana +SAUTI

Viongozi wa vikundi vya vijana nchini Uganda wameitaka serikali ya nchi hiyo kuzingatia maslahi ya vijana wote badala ya kuwaita kila mara kwamba, wao ni viongozi wa kesho.