Afrika
-
Kushadidi malalamiko ya wananchi nchini Sudan
Jan 26, 2021 12:12Sambamba na kushadidi matatizo ya kiuchumi nchini Sudan, wananchi wa nchi hiyo wameanza tena kufanya maandamano wakilalamikia hali hiyo.
-
9 wauawa katika mpaka wa Kenya na Somalia, AU yatoa kauli
Jan 26, 2021 10:58Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema amani katika mpaka wa Kenya na Somalia ni jambo muhimu kwa ajili ya uthabiti wa eneo zima la Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.
-
Misri yawaweka viongozi 50 wa Ikhwanul Muslimin katika orodha ya magaidi
Jan 26, 2021 10:55Mahakama nchini Misri imewaweka viongozi 50 wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya nchi hiyo katika orodha ya magaidi.
-
Waasi 44 wauawa na jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 26, 2021 07:29Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati limetangaza habari ya kuua waasi 44 waliokuwa na nia ya kuzingira na kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui sambamba na kuipindua serikali ya Rais Faustin Archange Toudera wa nchi hiyo.
-
Waandamanaji waliokuwa wakipinga kusikilizwa kesi ya Sheikh Zakzaky washambuliwa na vikosi vya usalama
Jan 25, 2021 23:40Vikosi vya usalama nchini Nigeria vimevamia maandamano ya wananchi ya kupinga kusikilizwa kesi ya Sheikh Iibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Serikali ya Tanzania yaafiki kuwarejesha kwao mamia ya wafungwa wa Ethiopia
Jan 25, 2021 23:39Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia kuwarejesha kwao wafungwa 1,789 raia wa Ethiopia walioko kwenye magereza mbalimbali ya nchi hiyo wakituhumiwa kuingia nchini humo kinyume cha sheria.
-
Rwanda yaanza kugawa chakula kwa wananchi waliothirika na karantini ya Corona +SAUTI
Jan 25, 2021 18:17Wakati wakazi wa mji mkuu wa Rwanda Kigali wakiingia juma la pili la zuio la kutotoka nje katika hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona, serikali ya nchi hiyo imeanza zoezi la mgawo wa vyakula kwa wananchi walioathiriwa kutokana na kupoteza vyanzo vyao vya mapato.
-
Serikali ya Uganda yatakiwa kuzingatia maslahi ya vijana +SAUTI
Jan 25, 2021 18:11Viongozi wa vikundi vya vijana nchini Uganda wameitaka serikali ya nchi hiyo kuzingatia maslahi ya vijana wote badala ya kuwaita kila mara kwamba, wao ni viongozi wa kesho.
-
Mahakama ya Uganda yaiamuru polisi imuondolee Bobi Wine kizuizi cha nyumbani
Jan 25, 2021 12:42Mahakama nchini Uganda imeamuru vikosi vya usalama vya nchi hiyo viondoe mzingiro vilioweka kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ambaye yuko kwenye kizuizi cha nyumbani tangu ulipofanyika uchaguzi wa rais januari 14.
-
Kuendelea machafuko nchini Tunisia
Jan 25, 2021 09:38Licha ya kupita takriban muongo mzima tangu yalipotokea mapinduzi ya wananchi wa Tunisia na kuchochea mapinduzi mengine katika nchi kadhaa za ulimwengu wa Kiarabu, lakini bado wananchi wa nchi hiyo wanalalamikia matatizo mengi ya kijamii na kisiasa nchini mwao.