Apr 09, 2020 13:13 UTC

Wakati Rwanda ikiendelea kuomboloza mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Watutsi ya mwaka 1994, bado kuna walionusurika na mauaji ambao wanaendelea kuishi na msongo wa mawazo kutokana na athari za mauaji hayo. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali.

Tags

Maoni