May 24, 2020 17:08 UTC

Serikali ya Zanzibar SMZ imesema imekusudia kupunguza masharti iliyokuwa imeyaweka hapo kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi.

Tags

Maoni