Jul 14, 2020 06:17 UTC

Ikiwa imebakia miezi saba hadi kufanyika Uchaguzi Mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa vyama mbalimbali nchini humo wanawalalamikia askari wa kulinda usalama kwa kuwakandamiza. Taarifa zaidi anayo mwandishi wetu Kigozi Ismail kutoka Kampala

Tags

Maoni