Sep 18, 2020 13:28 UTC

Mahakama ya rufaa ya Cameroon imeidhinisha hukumu ya kifungo cha maisha jela iliyotolewa dhidi ya kiongozi wa waasi wa Ambazonia wanaopigania kujitenga maeneo mawili ya nchi hiyo ya wanaozungumza Kiingereza Julius Sisiku Ayuk Tabe pamoja na wenzake tisa

Maoni