Nov 26, 2020 17:08 UTC

Hatimaye serikali ya Rwanda imeafikiana na kundi la wananchi waliokuwa hapo awali wamekataa kuhamishwa kutoka maeneo hatarishi kwenda kwenye sehemu ambayo serikali ya nchi hiyo inawajengea nyumba za kisasa.

Wananchi hao ambao malalamiko yao yaliendelea kusikika kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya Rwanda hatimaye watahama bila kupewa pesa taslimu lakini nyumba safi na za kisasa.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi….