Serikali ya Uganda yatakiwa kuzingatia maslahi ya vijana +SAUTI
Jan 25, 2021 18:11 UTC
Viongozi wa vikundi vya vijana nchini Uganda wameitaka serikali ya nchi hiyo kuzingatia maslahi ya vijana wote badala ya kuwaita kila mara kwamba, wao ni viongozi wa kesho.