Feb 17, 2021 17:03 UTC

Maalim Seif Sharif Hamad, mwanasiasa mkongwe na Makamu wa Kwanza wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 77.

Serikali ya Zanzibar kupitia Rais wake Dakta Hussein Mwinyi imetangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na bendera zitapepea nusu mlingoti.

Harith Subeit na taarifa zaidi akiripoti kutoka Zanzibar