Mar 02, 2021 18:47 UTC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amemwapisha Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kufuatia uteuzi aliofanya tarehe mosi Machi mwaka huu

Tags