Jul 21, 2021 16:06 UTC

Baraza la Idul Adh'ha mwaka huu visiwani Zanzibar, limefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la mjini Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba. Rais Hassan Ali Hassan Mwinyi amehutubia baraza hilo. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit ametutayarishia ripoti ifuatayo.

Tags